Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MH. LOWASSA AONGOZA MAELFU KUMZIKA NYITI JIJINI ARUSHA LEO




Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua kaburini.




Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza viongozi wenzake kwenda kwenda kuweka udongo kaburini.nyuma yake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.




Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,Dr. Reginald Mengi naye akiweka udongo kaburini.

                                                                      *********


Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa ameongoza maelfu ya Wakazi wa mji wa Arusha na mikoa ya jirani katika mazishi ya mfanyabiashara na Kada maarufu wa CCM Mkoani Arusha,Marehemu Henry Nyiti,nyumbani kwake Tengeru Arusha .

 

Nyiti alifariki ghafla wiki iliyopita akiwa katika mgodi wake wa madini,Mahenge Mkoani Morogoro.

 

Wengine walioudhuria katika mazishi hayo ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe,Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu,Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dr. Reginald Mengi,Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo,Mwenyekiti wa Chadema,Mh. Freeman Mbowe na Ridhiwani Kikwete.


credits: Othman Michuzi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top