Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DEREVA ALIYEMGONGA TRAFIKI ENEO LA BAMAGA HUYU HAPA .... AFIKISHWA MAHAKAMANI

 




Akiteta jambo na Issa Mnally ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili.




Waandishi wa habari wakimpiga picha (Simbo) wakati akiingia mahakamani...

Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake.endelea kupitia
Audifacejackson blog,.
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.


Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top