Mke wa Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya hundi ya Sh. milioni 6, mshindi wa kwanza wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, Aziza Mbogolume,
wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika sambamba na kusherehekea siku
ya Wanawake Duniani, katika Ukumbi
wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mke wa Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwahutubia
wanawake na wageni waalikwa katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, zilizofanyika sambamba na
uksherehekea siku ya Wanawake Duniani usiku wa kuamkia jana, katika Ukumbi wa
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mmoja wa washiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya
Mwanamakuka,
Mke wa Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, na baadhi ya wageni
waalikwa wakishiriki kucheza muziki na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Baby Husna, wakati akitoa
burudani kwenye hafla ya kutoa tuzo za Mwanamakuka 2013 zilizofanyika sambamba
na sherehe za siku ya Wanawake Duniani, katika ukumbi wa Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam
Mke wa Makamu wa
rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na Wadhamini waliofanikisha kufanyika kwa hafla hiyo ya utoaji tuzi za Mwanamakuka 2013, baada
ya kukabidhi tuzo hizo kwenye hafla hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam. Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais
Post a Comment