Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Polisi Mji mpya wa mabwepande, Wilaya ya kinondoni Jijini Dar es salaamu.
Maofisa wa Polisi na wakazi wa mabwepande wakishangilia kufunguliwa rasmi kwa kituo cha Polisi katika mji mpya wa mabwepande.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akiwahutubia wakazi wa mji mpya wa mabwepande mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika kituo kipya cha Polisi kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mji huo mpya. Msemaji wa Jeshi la
Msemaji wa Jeshi la Polisi Advera Senso pamoja na maofisa wengine wakiwa nje ya jengo jipya la kituo cha Polisi Mabwepande mara baada ya Mgeni rasmi IGP Said Mwema kuweka jiwe la Msingi
Post a Comment