Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa ya Ilala.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda Maalum ya Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake.
Rais wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo, akielezea kwa kina juu ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 na kumshukuru Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa kwa kuwakaribisha katika Manispaa Hiyo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Mh. Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 Taifa wakiwa katika Moja ya Kumbukumbu hizo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika eneo maalum ambapo Ndipo harakati za kutafuta Uhuru wa Tanzania zilikuwa zikifanyika.