Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATEJA WANAOTUMIA HUDUMA YA M-PESA SASA KUTUMIA ATM ZA DTB KUTOLEA FEDHA

 



Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB, Sylvester Bahati,(kushoto)akiwaelezea waandishi wa habari,jinsi ya kutoa fedha kwenye mashine za kutolea fedha za DTB kupitia huduma ya Vodacom M PESA ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo popote walipo nchini,huduma hiyo imezinduliwa leo jijini Dares Salaam pamoja nae ni Meneja mahusiano ya nje wa Vodacom Tanzania,Bw.Salum Mwalim.
Meneja mahusiano ya nje wa Vodacom Tanzania,Bw.Salum Mwalim,akitoa fedha kwa mara ya kwanza baada ya kuzinduliwa kwa huduma ya kutoa fedha kupia mashine za kutoa fedha za DTB kupitia huduma ya M PESA, ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo popote zilipo nchini anaeshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB,
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top