Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MASHINDANO YA VYUO VYA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA YAANZA KUTIMUA VUMBI MOROGORO.


 

Mkuu wa wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi akipiga mpira na kufunga bao la penalti ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya vyuo vya Utumishi wa umma Tanzania katika uwanja wa Jamhuri Morogoro.
DC Amanzi akizungumza na wanamichezo muda mfupi kabla ya mashindano hayo kuanza kutimua vumbi katika viwanja vya Jamhuri Morogoro.
Mchezaji wa Tabora Sport Club Maria Musiba kulia akitafuta mbinu ya kufunga huku mchezaji mwenzake Grace Allan akijiandaa kutoa msaada dhidi ya wachezaji wa timu ya Magogoni Dar es Salaam, Georgia Lugalinda na Matrida Swai wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya vyuo vya utumishi wa umma Tanzania katika uwanja wa jamhuri Morogoro ambapo katika mchezo huo Tabora ilishinda kwa vikapu 35-5 katika uwanja wa ndani Jamhuri mkoani Morogoro.
KIKOSI CHA TIMU YA TABORA KILICHOIBUKA NA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA MAGOGONI DAR ES SALAAM
KIKOSI CHA TIMU YA MAGOGONI DAR ES SALAAM KILICHOPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA TABORA KWA USHINDI WA BAO 1-0.
Mchezaji wa timu ya Singida akijaribu kuwatoka wachezaji wa Magogoni Dar es Salaam katika mchezo wa basketiboli ambapo Singida ilipoteza kwa vikapu 44-28
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top