
Akina mama mbalimbali ambao ni wanachama wa UVIMA wakiwa katika semina hiyo.

Washiriki wa semina hiyo wakipitia mada mbalimbali katika makabrasha ya semina hiyo

Washiriki wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zinatolewa katika semina hiyo

Tabu Likoko kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo kutoka kulia ni Michael Muhando Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu (NHIF),Tatu Mwenda Mwenyekiti wa (UVIMA) na kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza na washiriki wa semina hiyo iliyofanyika Majohe Pugu jijini Dar es salaam leo.
Michael Muhando Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu (NHIF) akizungumza katika semina hiyo leo

Philomena Marijani Meneja Uragibishi kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo

Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika semina hiyo iliyofanyika Majehe Pugu leo x

Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo
Wachekeshaji Abdallah Salum Kulia ni Shoti na Rashid Omary Hasara wakiburudisha washiriki wa semina hiyo kabla ya kuanza rasmi.



Post a Comment