Meneja
wa kanda Lucresia Makiriye akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa
NMB jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
Baadhi
ya wafanyakazi wa NMB wa mkoa wa jiji la Mbeya wakifuatilia kwa makini maelezo
kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa
wiki.
|
Baadhi
ya wajasiriamali na wateja wa NMB wakimsikiliza Kamanda wa polisi mkoa wa
Mbeya Diwani Athumani kwenye mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wa NMB
jijini mbeya.
|
Mmoja
wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Jeremiah Lyimo akifafanua jambo kuhusu
mikopo katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa
wiki.
|
Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Beatrice Mwambije akielezea faida za mikopo |
Mwenyekiti
wa Chama Cha Wafanyabiashara, viwanda na Kilimo, (TCCIA) Mkoa wa Mbeya Julius
Kaijage akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyotolewa
Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
Mmoja wa wateja wa NMB akichangia wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyoendeshwa katika ukumbi wa Rehema Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. |
Ofisa
Ardhi wa Jiji la Mbeya Castro Ntala akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa
wajasiriamali wa NMB Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
Mmoja wa wajasiriamali akichangia jamabo katika mafunzo ya wateja wa NMB jijini Mbeya. |
Mmoja wa wajasiriamali ambaye ni mteja wa Be nki ya NMB Mkoa wa Mbeya Chifu Lyoto akiuliza swali juu ya matatizo na kero mbalimbali wanazokutana nazo wateja katika mikopo. |
Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa wa Mbeya. |
Baadhi ya watumishi wa NMB Mbeya |
Baadhi ya watumishi wa NMB makao makuu |
Post a Comment