Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwasili katika
Kijiji cha Matyazo wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha uanachama wa NSSF
wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kigoma Vijijini, Hamis Betese akizungumza wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha uanachama wa NSSF wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini.
Baadhi ya wanakijiji cha Matyazo pamoja na vijiji vya jirani wakiwa katika uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma za kitamaduni cha Changamoto kikitoa burudani.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha kwa hiari kwa wanachama wa NSSF, wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Ramadhani Maneno akizungumza wakati wa Uzinduzi huo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.
Makongoro Mahanga akizungumz wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha
uanachama wa NSSF wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO
Kigoma Vijijini.
Wanakijiji wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wanakijiji wakisubiri kukabidhiwa kadi zao za uanachama wa hiari wa NSSF.
Meneja Mipango na Uwekezaji wa NSSF, Mseli Abdalah akiongoza hafla hiyo.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kigoma, James Mashinga akizungumza wakati wa uzinduzi.
Post a Comment