Home » Unlabelled » WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK EMMANUEL NCHIMBI AKUTANA NA MAWAZIRI NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA WIZARA YA HABARI, VIJANA NA UTAMADUNI.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi (katikati meza kuu) akizungumza
jambo alipokutana na Mawaziri wenzake kutoka Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni
na Michezo, Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto kwa Dkt Nchimbi) na Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kulia). Mawaziri
hao pamoja na Watendaji wakuu kutoka Wizara zao walikutana katika ofisi za
Wizara ya Mambo ya Ndani kujadili kwa pamoja changamoto zinazozikabili Wizara
zao katika kuimarisha amani na mshikamano wa nchi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi, Inspekta Generali, Said Mwema akizungumza jambo kwenye
Mkutano uliowakutanisha Viongozi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Wizara yaMawasiliano, Sayansi na Teknolojia.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Mawasiliano, Prof.John Nkoma.
Post a Comment