Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ofisi ya Kikundi cha Utamaduni na Sanaa Tarab ya teketea kwa Moto Zanzibar

 


Vifaa vya muziki pamoja na pesa shilingi milioni 2.5 za Kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab vikiwa vimeteketea kwa moto pamoja na ofisi yao iliyopo Ngome Kongwe, Mjini Zanzibar usiku wa kuamkia jana.


Katibu wa kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab Daudi Shadhil (kulia) akitoa maelezo kwa Mwandishi wa habari Miza Kona kuhusu kuteketea kwa moto ofisi yao hapo Ngome kongwe, kushoto ni Muongozaji msaidizi wa Kikundi hicho Yazid Mawiya.

Baadhi ya Wasanii wa kikundi hicho wakionekana katika hali ya huzuni nje ya ofisi yao baada ya kutekete kwa moto usiku wa kuamkia jana.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top