Kesi ikiendelea.
.
.
.
Akishushwa kuingia kwenye karandinga la magereza wakati huo Wema Sepetu, Dr Cheni, Zamaradi Mketema, Petit Man na wengine walikimbia kwenye kuchukua pesa za faini benki.
Producer Lamar alikuepo.
.
Mfuko wa pesa zenyewe baada ya kwenda kuchukuliwa benki.
Lulu alikuepo pia.
.
Kajala akielekea kwenye garila magereza tayari kwa kurudishwa.
.
Watu wakisubiri kama Kajala ataachiwa manake wakati huu pesa zilikua zimeshapatikana.
Wema Sepetu akiongea na waandishi wa habari.
.
Kajala baada ya kuachiwa huru.
.
Kajala na mama mzazi.
.
.
.
.
Pamoja na kwamba Mwigizaji Lulu yupo nje kwa dhamana katika kesi ya mauaji bila kukusudia, alijitokeza Mahakamani kumsupport mwenzake.
.
.
.
.
CREDITS: MILLARD AYO
on Monday, March 25, 2013
Post a Comment