Picha juu na chini Waziri Mkuu, Miozengo Pinda akna mkewe Tunu wakiwahamasisha waumini wa kanisa katoliki la Magomeni jijini Dar es salaam kuchangia ukarabati wa kanisa lao wakati alipohudhuria ibada kwenye kanisa hilo Machi 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto baada ya kuhudhuria ibada ya misa kwenye kanisa katoliki la Mgomeni jijini Dar es salaam Machi 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)