Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Botwana Mhe Pandu Skelemi baada ya kupokea ujumbe maalumu kutoka kwa
Rais wa nchi hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa
Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe
Pandu Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa
Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu
Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU
on Saturday, March 16, 2013
Post a Comment