Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge,Mh Mbatia muda mfupi
mara baada ya kufika na kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka
mapema leo asubuhi na kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine 17
kujeruhiwa vibaya.,aidha shughuli za ukoaji zinaendelea kwani inadaiwa kuna
watu wengi zaidi wamefunikwa na jengo hilo.
Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said cMeck Sadick shoto
akiwa ameambatana na Rais Jakaya Kikwete muda mfupi mara baada ya kufika na
kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka mapema leo asubuhi na
kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa vibaya,kulia ni
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said Meck Sadcik
akifafanua jambo kwa Rais Jakaya Kikwete muda mfupi mara baada ya kufika na
kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka mapema leo asubuhi na
kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa vibaya,kulia ni
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Kikwete akiondoka eneo la tukio mara baada ya kujionea hali
halisi ya tukio zima la kuanguka kwa ghorofa linalodaiwa kuwa na idadi ya
ghorofa 16.
Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said Meck Sadick akipewa
pole na Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.Dkt.ASha-Rose Migiro
kuhusiana na tukio zima la kuanguka kwa jengo la Ghorofa mapema leo
asubuhi,jijini Dar.
Credits: Michuzi jr
Post a Comment