Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Kikwete akagua miradi ya Uzalishaji JKT Ruvu


8E9U3121
 
Mwakilishi wa Wabunge waliomaliza mafunzo maalumu ya muda mfupi ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)katika kambi ya RUVU Ester Bulaya akikabidhi risala kwa niaba ya wenzake kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana. 8E9U3133
 
Wabunge waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya Jeshi la kujenga Taifa wakipita kwa ukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mris 8E9U3151
 
Wabunge waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya Jeshi la kujenga Taifa wakipita kwa ukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho kikwete wakati wa gwaride maalumu la kumaliza mafunzo hayo huko kambi ya RUVU leo. 8E9U3177
 
Wabunge walihudhuria mafunzo ya muda mfupi Ruvu JKT wakionesha walijifunza kwa vitendo.
 
8E9U3247
 
 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga risasi hewani kuashiria kuzundua mafunzo ya JKT kwa vijana katika kambi ya RUVU JKT yatakayo itwa Operesheni Miaka Hamsini.
 
8E9U3275
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Ulinzi Mh.Vuai Shamsi Nahodha mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa JKT wakiwa katika picha ya pamoja na wabunge waliomaliza mafunzo ya muda mfupi katika kambi ya JKT Ruvu. 8E9U3345
 
Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa ufugaji kuku katika kambi ya Ruvu JKT leo(picha na Freddy Maro).
8E9U3392
 
Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa ufugaji kuku katika kambi ya Ruvu JKT leo(picha na Freddy Maro).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top