Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA, AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI AZINDUA MAABARA YA UHANDISI JENI


 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi na Ukunga nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania katika bustani ya Mnazi Mmoja leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka kufungua rasmi Maabadara ya kisasa ua Uhandisi Jeni (Genetic Engineering) katika kituo cha utafiti wa Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es salaam leo Machi 19, 103. Kushoto ni Dkt Chrtistopher Chiiza na wa pili kulia ni Mku wa kituo hicho Bw. Joseph Ndunguru
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013.PICHA NA IKULU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top