Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZA KUAPISHWA KWA PAPA FRANSIS

 

Hizo hapo juu Picha ambazo Bendera ya Tanzania inaonekana ikipeperushwa kati ya Bendera nyingi za mataifa mbalimbali duniani. Watanzania walikuwepo wakituwakilisha kama Taifa, na tujuavyo Bendera ya taifa ni kitambulisho rasmi cha taifa. Tukio hili la kimataifa na lajumuisha mataifa mbamali na kila taifa linajivunia utaifa wake kati ya mataifa mbalimbali duniani.



Kutawazwa Pope Francis leo huko Rome, Tanzania iliwakilishwa, kiainisho cha taifa leti kikipepea kumpungia upepo Pope Mpya.




Inaelekea Afrika Mashariki na Kati ndio nyumbani kwa Wakatoliki wengi barani Afrika nchi ambazo kwenye ramani hapo chini zinaonyesha idadi ya mataifa yenye wakatoliki wengi duniani, na kwa west Afrika inayoonekana kuwa na wakatoliki wengi ni Nigeria pekee. Hatushangai kuona Bendera ya Tanzania ikimpungia upepo Pope Mpya kule St. Peter's Square, Vatican Cyty, Italy


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top