Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi wa Ofisi ya Mkoa wa Kaskazini
Pemba,alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall,alipofika
kupata ripoti ya Mkoa ,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo
iliyoanza jana kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali na wana CCM,alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi
katika Mikoa ya Pemba,akianzia Mkoa wa Kaskazni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mikoa ya huko
Pemba, akianzia Mkoa wa Kaskazni.
Baadhi
ya Viongozi na Watendaji wa Ofisi za Mkoa wa kaskazini Pemba
wakisikiliza Ripoti ya Utendaji kazi za Mkoa huo mbele ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed
Shein,katika ukumbi wa wa mikutano wa Jamhuri Hall, akiwa katika ziara
ya kikazi katika Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya utendaji kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Dadi Faki Dadi, katika
ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall,akiwa katika ziara ya kikazi katika
Mkoa huo iliyoanza jana kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,yenye muundo wa Umoja
wa Kitaifa,walioshiriki katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,katika Mkoa wa Kaskazini
Pemba ,wakislikilaza Ripoti ya Mkoa iliyosomwa katika ukumbi wa wa
mikutano wa Jamhuri Hall.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed
Shein,akiangalia utengenezaji wa barabara inayojengwa kwa Kutumia
Saruji,Mchanga na Kifusi,ili kuzuiya uhifadhi wa mazingira
ya misitu,katika msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya
ziara jana kuangalia maendeleo ya jamii. Picha na Ramadhan Othman Ikulu
Post a Comment