Wanachama wa CCM DMV
wakiinuka kwenye viti vyao kushangilia kwa kishindo ushindi Uncle George Sebo
aliyeshinda kwenye uchaguzi wa chama hicho kwenye nafasi ya Mwenyekiti ambao
alijikua mgombea pekee baada ya mgombea mwingine Mrisho Mzese kujitoa na wengine
watano waliokua wakingombea nafasi mbalimbali kwa sababu ya kuona haki
isingetendeka kwenye uchaguzi huo wa CCM DMV. Wagombea wengine waliopita ni
Yacob Kinyemi aliyeshinda ukatibu mkuu, Faraja Isingo Katibu Uchumi na Fedha,
Salma Moshi nafasi ya Katibu Itikadi na Uenezi, Mama Kimolo Uenyekiti wa UWT,
Aunty Grace Mgaza Mwenyekiti Wazazi na Grace Mlingi Katibu Umoja wa
Vijana
Mwenyekiti aliyekua wa
muda Loveness Mamuya akimkabidhi Mwenyekiti mpya Uncle George Sebo Bendera ya
Chama Cha Mapinduzi
wenyekinyiki uongozi wa
CCM DMV uliokua wa muda, Loveness Mamuya akimkabidhi kitabu cha Ilani ya chama
mwenyekiti mpya Uncle George Sebo.
Viongozi wa CCM DMV
waliochaguliwa katika picha ya pamoja
Viongozi waliochaguliwa
katika picha ya pamoja na wanachama wa CCM DMV
Kamati ya uchaguzi ikiwa
na msimamizi Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (watatu toka kushoto)
Viongozi waliokua wa
muda CCM DMV katika picha ya pamoja
Kamati ya uchaguzi
ikitangaza utaratibu wa kupiga kura
Post a Comment