Mbunge wa Jimbo la Magomeni Muhamad Amour Chombo akitoa nasaha kwa wanafunzi,na pia kuwapongeza kwa kufaulu kwao kabla ya kuwazawadia sare za Skuli kwa kila mwanafunzi,huko katika Skuli ya Sekondari ya Nyerere Mjini Unguja.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.)
Loading...
Home » Unlabelled » MBUNGE NA MWAKILISHI WA MAGOMENI ZANZIBAR WAGAWA SARE KWA WANAFUNZI WALIO FAULU.
MBUNGE NA MWAKILISHI WA MAGOMENI ZANZIBAR WAGAWA SARE KWA WANAFUNZI WALIO FAULU.

Post a Comment