Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akiwa na Ismail Edward Mkuu wa
shule ya Sekondari ya St. Antony Mbagala jijini Dar es salaam wakiwa pamoja na
baadhi ya wanafunzi mara baada ya kupokea vifaa hivyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akikabidhi vifaa vya ngoma za
asili kwa Ismail Edward Mkuu wa shule ya Sekondari ya St. Antony Mbagala jijini
Dar es salaam hivi karibuni, huo ni msaada aliouahidi kwa…
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akiwa na Ismail Edward Mkuu wa
shule ya Sekondari ya St. Antony Mbagala jijini Dar es salaam wakiwa pamoja na
baadhi ya wanafunzi mara baada ya kupokea vifaa hivyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akikabidhi vifaa vya ngoma za
asili kwa Ismail Edward Mkuu wa shule ya Sekondari ya St. Antony Mbagala jijini
Dar es salaam hivi karibuni, huo ni msaada aliouahidi kwa shule hiyo baada ya
kuonekana kuna uhaba wa vifaa vya muziki wa asili shuleni hapo, wanaoshuhudia
tukio la makabidhiano hayo katika picha katikati ni walimu Venance Njiku na Bi.
Nickyza Bwenge, vifaa hivyo ndivyo vilivyotumiwa na kikundi cha ngoma za asili
cha shule hiyo wakati wa mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika hivi karibuni
shuleni hapo yakishirikisha wazazi, wageni waalikwa mbalimbali , Bodi ya shule
pamoja na uongozi wa wanafunzi wa shule hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akizungumza na wanafunzi hao mara
baada ya kuwatembelea katika mazoezi yao shuleni hapo na kukabidhi vifaa
hivyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera akicheza pamoja na kikundi hicho
wakati kikiwa katika mazoezi yake shuleni hapo.
Meshack Mahembe mwalimu wa
kikundi hicho akifanya mazoezi pamoja na wanafunzi hao.
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Utalii ya Pongo Safaris Bi Scholastica Ponera, Mkuu wa shule hiyo Ismail Edward
kulia na na Meshack Mahembe mwalimu wa kikundi hicho wakiwa katika picha ya
pamoja.
Post a Comment