Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SOCIAL WORK CLUB WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA KURASINI

 



Watoto waki imba kwa furaha


Wanafunzi toka taasisi ya Ustawi wa Jamii tarehe 16-03-2013 wametembelea kituo cha watoto yatima Kurasini ikiwa ni moja kati ya shughuli za kuadhimisha siku ya kimataifa ya ustawi wa jamii ambayo husherekewa kila mwaka mwezi wa tatu. kilele ni tarehe 19-03-2013 maadhimisho yatafanyika katika viwanja vya Taasisi Ya Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar es salaam wote mnakaribishwa

Wanafunzi wakiwa wanashuka



Andrew Mwakabana akielezea jambo


Katibu TASWO Nicholas Mshana - akielezea jambo


Amin Ngomasere akitoa ujumbe kwa hadhira iliyokuwepo


Utoaji wa zawadi


Neno la shukrani toka kwa Mtoto kurasini




Watoto waki imba kwa furaha


Chakula cha pamoja



Wanafunzi toka Taasisi ya Ustawi wa Jamii wakisaidia kazi ya kuandaa chakula cha jioni


Sehemu ya michezo kwa watoto

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top