Wanafunzi wakiingia kwa maandamano. (Picha zote
na Habari Mseto Blog)
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na mke wa
Waziri Mkuu wakiangalia ngoma ya utamaduni ya kikundi cha Wanne Star wakati
ikitumbuiza.
Kikundi cha sanaa cha Wanne Star
kikitumbuiza
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang’ombe
wakipiga vinanda wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni
wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika wakicheza
ngoma ya Mganda wakati wa tamasga hilo.
Mgenira rasmi mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto
ni Kaimu Ofisa Utamaduni Manispaa ya Temeke,
Janeth Nkini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema.
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi
zawadi mwalimu wa Shule ya Msingi Miburani, Fausta Luoga wakati wa tamasha la
watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza
fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mgenira rasmi
mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kushoto
ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia
Mjema.
Baadhi ya majaji katika tamasha hilo.
Picha ya pamoja wafanyakazi wa PPF na mgeni
rasmi
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi
zawadi ya mipira mwalimu wa Shule ya Msingi Kibasila, Rosemary Seleng’a wakati
wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya
kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF, Vupe Ligate akimkabidhi zawadi mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda, wakati
wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na mfuko huo, chini ya kampeni ya
kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na kushoto ni Kaimu Ofisa
Utamaduni Manispaa ya Temeke, Janeth Nkini.


Post a Comment