Waziri mkuu mstaafu
Edward Lowassa (wapili kutoka kulia) akikata utepe wa kuashiria uzinduzi wa Vikoba vya
umoja wa wanawake wa madhehebu ya Kikristo Mwanza, kulia ni askofu wa Kanisa la
Anglican Diosisi ya Nyanza (DVN) Boniface Kwangu akiwa ameshikilia kiasi cha
shilingi millioni 40 zilizochangwa ikiwa ni pamoja na hudhi na ahadi zilizowekwa
kutunisha Vikoba, Mkuu wa mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti pia anaonekana pichani
wa pili kushoto .
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na mmoja wa wawakilishi wa wazee wa Mwanza Ally
Zagamba ikiwa ni sehemu ya makaribisho kwenye uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza
jana, ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi wa Vikoba Kanisa la Anglican
Nyamanoro pia siku ya leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku ya Maombezi ya
Wanawake Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana Mama Kemylembe (Mrs Jack Fish) kwenye uwanja wa ndege
wa jiji la Mwanza jana, ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi wa Vikoba Kanisa
la Anglican Nyamanoro pia siku ya leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku ya
Maombezi ya Wanawake Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana kada wa CCM Bi. Flora Magabe kwenye makaribisho
uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza jana, ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi
wa Vikoba Kanisa la Anglican Nyamanoro pia siku ya leo inatambulika kimataifa
kuwa ni Siku ya Maombezi ya Wanawake
Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na Kada namba moja wa CCM mkoani Mwanza Emmanuel
Nzungu akiwa sehemu ya watu waliojitokeza kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa jiji
la Mwanza jana, ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi wa Vikoba Kanisa la
Anglican Nyamanoro pia siku ya leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku ya
Maombezi ya Wanawake Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na Mama Rugaco kwenye uwanja wa ndege wa jiji la
Mwanza jana, ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi wa Vikoba Kanisa la
Anglican Nyamanoro pia siku ya leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku ya
Maombezi ya Wanawake Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na MNEC wa jimbola Busega Mh. Chegeni katika
makaribisho ya mapokezi uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza jana, ambapo leo
anategemewa kufanya uzinduzi wa Vikoba Kanisa la Anglican Nyamanoro pia siku ya
leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku ya Maombezi ya Wanawake
Duniani. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na mdau mwingine wa Mwanza Mr. Eddo Masama ikiwa ni
sehemu ya makaribisho ya mbunge huyo kwenye uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza
jana. |
|
Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni Mbunge wa Monduli
Edward Lowasa akisalimiana na mfanyabiashara wa Mwanza Mr. Eddo Masama ikiwa ni
sehemu ya makaribisho ya mbunge huyo kwenye uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza
jana. |
|
Msafara wa viongozi mbalimbali pamoja na wananchi
kutoka uwanja wa ndege Mwanza kwa mapokezi ya Mh Waziri Mkuu mstahafu ambaye ni
Mbunge wa Monduli Edward Lowasa , ambapo leo anategemewa kufanya uzinduzi wa
Vikoba Kanisa la Anglican Nyamanoro , ulioandaliwa na wanawake toka madhehebu
ya kikristo jiji la Mwanza, pia siku ya leo inatambulika kimataifa kuwa ni Siku
ya Maombezi ya Wanawake Duniani. |

Makaribisho zaidi, shughuli ya uzinduzi wa Vikoba
credits: Gsengo |
|
Post a Comment