Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZAIDI: MAWAKALA MISS TANZANIA 2013 WALIVYOFANYIWA SEMINA


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA NA FADHER KIDEVU BLOG)
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini Wakuu wa Redd’s Miss Tanzania,Fimbo Butallah akitoa ufafanuzi juu ya Mada ua Udhamini na Wadhamini wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Vivian Shalua akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga na Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Agnes Kimuage.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Mbeya City Center,Anitha Audax akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.

Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Tanga,Zahor Said akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Temeke,Benny Kisaka akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Chang’ombe,Tom Chilala akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Ustawi,Bress Urasa akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Mrembo wa Redd’s Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred akiwa na Mrembo mwenzie alieshika nafasi ya tatu,Eda Sylvester wakiwa kwenye Semina hiyo.
Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd’s Miss Kanda ya Kati,Mama Salome Kiwaya akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea leo kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top