Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

THOMSON FOUNDATION YAWAPATIA MAFUNZO YA ELIMU YA MITANDAO YA JAMII MAAFISA WA MAWASILIANO SERIKALINI


2- Mwambene (kush) na Mkuunzi David Wiggins
 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kushoto) akizungumza na mkufunzi wa kozi fupi David Wiggins kutoka Stockport Uk ,katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO).
1-wakufunzi - Copy
 
Baadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.
2- darasani
 
Baadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam. 3-class
 
5- mwl akifundisha
 
Mkufunzi David Wiggins akitoa mafunzo kuhusu matumizi mbalimbali ya mitandao ya kijamii kwa baadhi ya maafisa mawasliano serikalini katika ukumbi wa MAELEZO jijini Dar es Salaam. 6- mwl drasani
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top