Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
leo.Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.jopo la
madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa
unaomsumbua. Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni
mtoto wa Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile. (Picha na Freddy Maro
Loading...
Home » Unlabelled » Rais Dkt.Jakaya Kikwete amtembelea Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Hospitali ya Taifa Muhimbili.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Kwa Undani7 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment