Meneja Mkuu wa Global
Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani). Kulia ni Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella ‘Mkubwa’ na
Meneja wa Wanaume Halisi, Abdallah Mashoto.
Mrisho akiteta jambo na
Juma Nature na wenzake.
Wanaume Family wakiwa
katika picha ya pamoja na meneja wao, Fella.
Juma Nature (kushoto)
akiongea na waandishi wa habari.
Wasanii wa Wanaume Family,
kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP wakiwa katika
pozi.
Temba akiongea na waandishi
wa habari.
Mhariri wa Gazeti la
Risasi, Mohamed Kuyunga akiwa katika picha ya pamoja na Temba na
Nature.
Temba akiingia kwenye gari
lake tayari kwa kusepa.
Benjamin Mwanambuu, mmoja
wa waratibu akiwa na Pamela Daffa, Mc wa dar
Live.
Mashoto akitoa tambo
zake.
Fella naye hakubaki nyuma,
aliahidi makubwa.
Temba na wenzake
wakisepa.
Ukumbi
wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, umeandaa mpambano wa kihistoria
kati ya makundi mawili hasimu ya muziki wa kizazi kipya Bongo, TMK Wanaume
Family na TMK Wanaume Halisi. Mpango mzima utatimua vumbi siku ya Pasaka na leo
makundi hayo yalifanya mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za Global
Publishers, Bamaga jijini
Dar.
Post a Comment