Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Waziri Mkuu wa Denmark, Ms, Helle Thorning Schmidt kwenye
uwanja wa ndege wa Julius Nyerere wakati mgeni huyo alipoondoka Machi 8, 2013
usiku kurejea nyumbani baada ya ziara yake ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi
yaWaziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akimsindikiza Waziri Mkuu, wa Denmark Ms. Helle Thorning- Schmidt kwenye uwanja
wa ndege wa Julius Nyerere ambaye Machi 8, 2013 usiku aliondoka kurejea nyumbani
baada ya ziara ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi yaWaziri
Mkuu).
Post a Comment