
Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akipewa zawadi mbalimbali za jadi za kichifu na wake wa Machifu wa
Kisukuma wakati wa sherehe za siku ya wanawake zilizofanyika huko Bujora
-Kisesa katika wilaya ya Magu tarehe 8.3.2013. Baada ya kupewa zawadi hizo
walimkalisha kwenye kigoda na kumpa jina la Kisukuma la ‘Mbula’ likimaanisha
mtu aletaye mvua kwani mara baada tu ya kuwasiri kijijini hapo mvua
ilinyesha
PICHA NA JOHN
LUKUWI





Post a Comment