Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na wananchi
wa Machui Wilaya ya Kati Unguja,baada ya kuangalia maendeleo ya hatua
za mwanzo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa tangi la maji safi,akiwa katika
ziara ya Mkoa wa \Kusini Unguja jana,(kulia)Waziri wa
Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,Ramadhan Abdalla Shaaban,[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani
Othman Maalim,akitoa ufafanuzi kuhusu kuhusu masuala ya Kilimo
,uwezeshaji wananchi kiuchumi,wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,iliyoanzia jana
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu na kutembelea Vijiji Mbali mbali
kuangalia maendeleo ya Kijamii katika Wilaya ya Kati Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]Mkurugenzi Mkuu wa Malaka ya Maji ZAWA DK.MUstafa Ali
Garu,wa pili kushoto)akitoa maelerzo kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea
Mradi wa Ujenzi wa tangi la Maji safi,ambapo ujenzi wake unajengwa na
kampuni kutoka China,akiwa katika ziara ya Wilaya kati Mkoa wa Kusini
Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment