Wakazi
wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya Tusker Lite katika hafla ya
uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha
usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika
mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Meneja
wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi (mwenye gauni nyeusi) akiwa amepozi
pamoja na wasanii wa jijini Arusha Nakaaya Sumari kushoto kwake na Peter kutoka
Arusha na kushoto kwake ni Peter Ngassa mdau kutoka Dar Es Salaam katika hafla
ya ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini
Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia
katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi
Nakaaya Sumari akifurahia jambo na MC katika
hafla hiyo
JCB
akitoa shukrani zake kwa Kampuni ya bia ya Serengeti kwa kuleta bia nzuri ya
Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya
Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.
Mama akishindana na nyaki kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia
hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa.
Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya
Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Mama
akifurahia zawadi ya glass za Tusker Lite baada ya kuibuka mshindi wa kucheza
muziki katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo
Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.
Wadau
wa bia ya Tusker Lite na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
wakionyesha furaha na kuipokea bia ya Tusker Lite jijini Arusha katika hafla ya
uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha
usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika
mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Post a Comment