Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza
na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi nchini (TUPSE)
ofisini kwake masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama hicho na
wizara yake. Kulia ni Katibu wa Kanda ya Dar es Salaam, Etimas Msamba,
Katibu Msaidizi, Oscar Muyeya na Kaimu Katibu Mkuu, Agustino Rupia.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi
nchini (TUPSE) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Loading...
Home » Unlabelled » VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WALINZI BINAFSI NCHINI (TUPSE) WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
Post a Comment