Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UFUNGUZI WA KITUO CHA KUTUNZA NA KUSAMBAZA SARAFU NA NOTI PEMBA

 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi 
sambamba na Viongozi wa Taasisi za Fedha akisalimiana na Wananchi wa Chake chake
mara baada ya kukifungua kituo cha kutunzia na kusambazia fedha cha BOT katika jingo
la PBZ Chake chake Pemba.


Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania { BOT } Dr. Natu Mwamba
akitoa salamu wakati wa uzinduzi wa Kituo cha kutunzia na kusambazia fedha cha BOT
kiliopo katika Jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar { PBZ } Chake chake Pemba.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa
katika picha ya pamoja na Uongozi wa JUU WA Benki Kuu ya Tanzania BOT, PBZ na Wizara
inayosimamia Fedha Zanzibar mara baada ya kukizindua Kituo cha kutunzia na
kusambazia fedha kwenye jingo la PBZ Chake chake Pemba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Watu wa Zanzibar { PBZ } Nd. Juma Amour
Mohammed alipowasili jingo la PBZ Chake chake Pemba kukifungua kituo cha kutunzia na
kusambazia fedha cha BOT.
Pembeni yao ni Naibu Ghavana wa Benki Kuu ya Tanzania { BOT } Dr. Natu Mwamba.
 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top