ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa
akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la
Mbeya
Viongozi
mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi
huo
U
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile
akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi
hilo
ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa
Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira
Uyole mbeya
Kwaya
mbali mbali zilitumbuiza katika uzinduzi
huo
Mara
baada ya ibada Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk.
Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni
waalikwa
Mkuu
wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala
mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa
Mbeya
ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa
akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi
Kandoro
Mkuu
wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini
makumira
Mkuu
wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akipanda mti kama ishara ya utunzaji wa
mazingira
ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa
akimwagilia alioupanda kwa ajili ya utunzaji wa mazingira chuoni
hapo
Hili
ni jengo la utawala chuoni hapo
picha
na Mbeya
yetu
ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa
akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la
Mbeya
|
Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo |
U
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile
akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi
hilo
|
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira Uyole mbeya |
Kwaya mbali mbali zilitumbuiza katika uzinduzi huo |
Mara baada ya ibada Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni waalikwa |
Mkuu wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa Mbeya |
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro |
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini makumira |
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akipanda mti kama ishara ya utunzaji wa mazingira |
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimwagilia alioupanda kwa ajili ya utunzaji wa mazingira chuoni hapo |
Hili ni jengo la utawala chuoni hapo |
picha na Mbeya yetu |
Post a Comment