Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MGOGORO WA KISIASA MJINI BUKOBA MH NAPE AMESEMA CCM ITAUNDA KAMATI YA KUCHUNGUZA MWENENDO MZIMA.

 

Mh. Nape Nauye (kushoto) akiingia ndani ya soko kuu mjini Bukoba kuongea na wafanyabiashara.
Mh. Nape akiongea na baadhi ya wadau na wafanyabiashara ndani ya soko kuu ambapo amewataka kuendelea na shughuli zao zikiwamo za miradi ya maendeleo wakati wakisubiri majibu yatakayotolewa na kamati itakayoundwa kuchunguza mgogoro uliopo.

kuhusu mgogoro wa kisiasa bukoba mjini.
Katibu mwenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye amemaliza mkutano na waandishi wa habari akiongelea mgogoro kati ya mbunge Kagasheki na Meya wa Bukoba Anatory Aman ambapo amesema kuwa CCM imeaigiza TAMISEMI kuunda kamati kuchunguza tuhuma zinazoelekezwa kwa meya huyo na mwenendo mzima wa mgogoro huo.Kwamba tume hiyo itaweka wazi ilichobaini.
 
Credits: Bukoba Wadau
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top