Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Aziza Maiga kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio, Nuru Njovu , kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Ashura Nampe Nampeja kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Sara Kiswiri kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa burudani wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) na msanii Mrisho Mpoto wakifurahi na wananwake wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam .
Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa burudani wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Ofisa wa Vodacom Foundation Ali Mbuyu akiwahakiki Wanawake Wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Post a Comment