Nembo
ya Trilateral commission.
Wakati waprotestant wamekuwa wakipinga muungano wa serikali na dini pamoja na mafundisho machafu yaliyochanganya ukweli na uongo, wamekuwepo viongozi wa kisiasa ambao wamekuwa wakipinga vikali mipango ya freemason katika kuundwa kwa serikali moja itakayotawaliwa na watu wachache. Ingawa baadhi ya viongozi wa kisiasa ni wanachama wa freemasons, hata hivyo wengi wao wamekuwa wakipinga mipango ya freemason inayoonekana wazi kuugawa ulimwengu katika makundi ya wenyenacho na wasionacho. Alikuwepo rais Muammar Gadhafi ambaye alipinga vikali mipango ya familia ya Rothschild kutaka kutawala sekta ya fedha duniani kote.
....... KIPINDI KIJACHO TUTAANGALIA MAHUSIANO KATI YA FREEMASONS NA KANAL MUHAMAL GADDAFI ..... Endelea kuwa na NDGSHILATU BLOG mahala popote na wakati wowote ....
Post a Comment