Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA PINDA AHAUTUBIA KATIKA TAMASHA LA BATIK

 IMG_0047Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akikagua batik katika tamasha la maonyesho ya batik ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwenye ukumbi wa Hellenic Club jijini Dar es salaam Machi 9, 2013.Tamasha hilo liliandaliwa kwa pamoja na Kamati ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania (MOWE) na Shirika la kazi Duniani ILO. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMG_0205Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na mke wa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Sophia Mukama katika Tamasha la Maonyesho ya batik la kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwenye ukumbi wa Hellenic Club jijini Dar es salaam Machi 9,2013. Tamasha hilo liliandaliwa kwa pamoja na Kamati ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania MOWE na Shirika la Kazi Duniani ILO.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0231Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza katika katika Tamasha la Moanyesho ya batik ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kwenye ukmbi wa Hellenic Club jijini Dar es salaam Machi 9, 2013. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani ILO nchini, Bw, Alexio Musindo na Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania (MOWE), Egaika Mrema. Tamasha hilo liliandaliwa kwa pamoja na MOWE na ILO. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top