| Baadhi ya Wakristo wakatoliki wakiwa na matawi ya mizeituni kufunya kumbukumbu ya kumpokea mwokozi wao kama walivyofanya wana wa Yerusalemu. |
| Waamini wakiwa na matawi mbele ya jukwa la Kichangani wakisubiri Padre ayabariki ili kuanza maandamano kuelekea kanisani. |
| Waamini wakiwa kwenye maandamamo yaliyoanzia Kichangani kuelekea Kanisa Kuu la Kiaskofu Kihesa. |
| Wanakwaya wa Kwaya ya Mt. Cecilia Parokia ya Kihesa
wakiwa kwenye maandamamo kuingia Kanisani credits: Francis Godwin blog |


Post a Comment