Serikali
kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za
mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama
ifuatavyo:
A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%
Mabadiliko mapya
yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A =
80%-100%
B =
65%-79%
C =
50%-64%
D =
35%-49%
F =
0%-34%
Taarifa
imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na
mitihani ijayo
on Monday, March 25, 2013
Post a Comment