Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANAKAMATI WA BUNGE YA UCHUMI NA VIWANDA NA BIASHARA WAHUDHURIA WARSHA YA UONGOZAJI WA VIRUTUBISHI KWENYE VYAKULA...!!!

 


Mmoja wa wanakamati wa Bunge ya uchumi na viwanda na biashara ambae ni Mwenyekiti wa kamati ya maswala ya ukimwi kwa kikundi cha wabunge maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini Bi.Lediana Mng'ong'o akitoa mada wakati wa washa ya uongozaji wa virutubishi kwenye vyakula kwa afya bora na jamii,washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI)

Kaimu mkurugenzi  mtendaji wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Bw.Benedict Jeje akichangia mada katka washa ya uongozaji wa virutubishi kwenye vyakula kwa afya bora na jamii,washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI)

Mmoja wa washiriki wa  warsha ya maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini akiwafafanulia jambo baadhi ya washiriki ambao ni wanakamati wa Bunge ya uchumi na viwanda na biashara washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI)


Mmoja wa washiriki wa  washa ya maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini akiwafafanulia jambo baadhi ya washiriki ambao ni wanakamati wa Bunge ya uchumi na viwanda na biashara washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI)

Baadhi ya wanakamati ya Bunge ya uchumi na viwanda na biashara ambao walihudhuria washa ya maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini wakioneshwa jinsi virutubisho vinavyochanganywa kwenye chakula na kusagwa na Meneja raslimali watu wa kiwanda cha Azania Bw.Haji Abdallah,jinsi kinavyojishughulisha na kusindika vyakula kwa afya bora kwa jamii, washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI) 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top