Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATANZANIA WASHAURIWA KUWA WABUNIFU


007
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi ambaye
alikuwa mgeni rasmi akihutubia kwenye hafla
hiyo ya uzinduzi.wa mfuko wa Kata ya Kipawa, (Bonnah Kaluwa) kwa ajili ya kusaidia katika sekta ya elimu katika kata hiyo alisema “Hii si kazi ndogo mwenzetu Bonnah alianza na wazo na kisha amethubutu na kuweza kuanzisha mradi huu hakika kila mmoja wetu anakila sababu ya kumpongeza” alisema Mushi.
“Alisema kunamaeneo mengi yanayohitaji kusukumwa na si katika sekta ya elimu pekee lakini tunaimani kupitia mfuko wa elimu wa Bonnah wanafunzi katika kata hiyo watanufaika nao.
DC Mushi aliwataka viongozi wengine katika maeneo mengine kubuni miradi hiyo jambo litakalo isaidia serikali katika maeneo mengine badala ya kila jambo kufanywa na serikali.
Naye Diwani Bonnah Kaluwa alisema aliamua kuanzisha mfuko huo kwa ajili ya kutoa fursa kwa watoto ambao wazazi wao hawana kuendelea na masomo badala ya kukaaa nyumbani.
“Mfuko huu ni kwa ajili ya watoto ambao wazazi wao hawatakuwa na uwezo wa kuwasomesha ambao tutawapata kupitia viongozi wanaoishi nao jirani ili kuondoa uwekano wa kuingia mamluki ” alisema Kaluwa.
Alisema fedha za mfuko huo zitapatika kutokana kwa wadau mbalimbali wapenda elimu wa ndani na nje ya nchi na kuwa tayari hata baadhi ya mabalozi kadhaa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wameonesha nia ya kusaidia kupitia mfuko huo.
“Mfuko huu utaanza kuwanufaisha watoto wa lengwa wa kata hiyo na kadri utakavyokuwa unakua tutajitanua zaidi katika mkoa wa Dar es Salaam hadi nchi nzima lengo likiwa ni kuhakikisha watoto hao wanapata elimu kwa faida ya Taifa la Tanzania”

003.
 
Mgeni rasmi wa hafla hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Raymond Mushi (kulia), akiwa kwenye hafla hiyo na
viongozi mbalimbali wac Manispaa ya Ilala. Kutoka
kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa,
Mbunge wa Ukongo na Eugen Mwaiposa
(mwenye kilemba)
004.
 
Wageni waalikwa wakiwa kwenye uzinduzi huo. 005.
 
Msanii wa kikundi hichi cha sanaa, Abdulraufu
Kawambwa, Mjukuu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akionesha umahiri
wa kupitisha mfano wa surulia ambayo ipo wazi
katika mwili wake kwenye hafla hiyo ya
uzinduzi wa mfuko huo.
006
 
Mwasisi wa Mfuko huo Bonnah Kaluwa,
akitoa hutuba fupi kuhusu mfuko huo mbele ya
wageni waalikwa.
001
Mhe. Bonnah Kaluwa akiwa na matoto wake
aitwaye Vanesa (kulia), kushoto ni rafiki wa
mtoto wake huyo.
002
Mhe. Bonnah Kaluwa akiwa na dada yake Aziza Hassan
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top