Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakianza
maandamano nje ya ofisi ya wizara hiyo kuelekea katika viwanja vya Tanganyika
Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa.
Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa
katika picha ya pamoja nje ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano
kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam.
Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara
hiyo, Lilian Mapfa. PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment