.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Biashara na Maendeleo wa Irelanda Bwa. Joe Costello, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo (kulia) na Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Chrstopher Chiza Wakishiriki katika mjadala kuhusu maendeleo ya LABS ya kilimo yaani mabara ya kufanya utafiti wa matatizo yanayoikabili sekta ya kilimo nchini na ufumbuzi wake kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar es Salaam(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment