





Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi Maimuna Taarishi akizungumza na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
Veronica Ufunguo Meneja wa Huduma za Utalii Mamlaka ya Ngorongoro akizungumza na wageni waliotembelea katika banda la Tanzania
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Zara Tours Bi Zainab Ansell akizungumza na wageni
waliotembelea katika banda la Kampuni yake kwenye maonyesho ya utalii ya
ITB Berlin leo
Mwenyekiti
wa Kampuni ya Langilangi Beach ya Zanzibar Tanzania Bw. Abubaker Al
Amry akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake waliotembelea banda
lake kwa nia ya mazungumzo ya biashara ya utalii Kulia ni Brice Guillet
wa Kampuni ya Travel Technology na katikati ni Isabelle Le Bonnec wa
kampuni hiyo pia
Wadau
kutoka makampuni mbalimbali wakiwa katika mazungumza na wageni wao
waliotembelea mabanda yao kwenye maonyesho hayo katika banda la Tanzania
Wadau mbalimbali wa Utalii wakiwa katika mabanda yao na kuzungumza mawili matatu juu ya maonyesho hayo.
Kazi inaendelea
Mwenyekiti
wa Kampuni ya Langilangi Beach ya Zanzibar Tanzania Bw. Abubaker Al
Amry kulia akiwa katika mazungumza ya kibiashara na baadhi ya wageni
katika maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB Dk. Aloyce Nzuki akimpokea na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
Meneja
wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena akisalimiana
na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
jRose Abdallah Mkurugenzi wa Antelope Safaris Limited akizungumza na wageni wake waliomtembelea katika banda la Tanzania
Baadhi
ya Wafanyakazi wa wa Taasisi mbalimbali serikali zinazofanya kazi ya
utalii nchini Tanzania wakiwa katika maonyesho hayo tayari kwa kazi ya
kupokea na kutoa maelezo kwa wageni mbalimbali wanaotembelea banda la
Tanzania katika maonyesho ya ITB yanayofanyika Jengo la Mense Berlin
nchini Ujerumani











Post a Comment