Mhe Zitto Kabwe ameibuka
kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali
(PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya
17.
Zitto awali alikuwa ni
mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na
kamati ya PAC.
SOURCE JAMII
FORUM
Post a Comment