Huo ndio ujumbe ulioandikwa
na jumuiya ya uamsho zanzibar, ukiwa na lugha za kichochezi dhidi ya ukristu.
Kutokana na ujumbe huo kuna maneno yanayowaita wakristu hasa wa dini ya katoliki
kua na makafiri na Sheikh Simba kaungana na makafiri yani wakristu na kuuacha
uislam. Mimi nikiwa kama admia wa Bongoclantz.com nimesikitishwa na maneno hayo
ukizingatia ya kua kila siku tunapiga kelele kuhusu amani na huku kuna watu
kama hawa wanaochochea uvunjifu wa amana katika nchi yetu. kilichonisikitisha ni
kua kuna baadhi ya watanzania waliochangia post hiyo kutoa maoni
yanayodhihilisha kua endapo siku itatokea vita kati ya dini hizi mbili yuo
tayari kumkata mtu wa dini tofauti na yake mapanga na kufa. Nashindwa kuelewa
serikali ipo wapi kuifunga account hii?
HAYA NI BAADHI YA MAONI
YENYE KUONYESHA CHUKI DHIDI YA SHEIKH
SIMBA
Post a Comment